Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi,akisaini Kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Benjamin Mkapa Rais Mstaafu awamu ya tatu, baada ya kufika  nyumbani kwao Mtaa wa Masaki jijini Dar es Salaam jana,alio simama kulia ni mwanasheria wa Benki hiyo, Mystica Ngongi na  kushoto ni Kaimu Menej Mwandamizi kitengo cha uhusino na mahusiano wa Benki hiyo Chichi Banda.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (katikati),akitoa pole kwa mke wa marehemu Benjamin Mkapa Rais Mstaafu awamu ya tatu Mama Anna Mkapa, baada ya kufika  nyumbani kwao Mtaa wa Masaki jijini Dar es Salaam jana, wengine wa pili kushoto mwanasheria wa Benki hiyo Mystica Ngongi wa kwanza kushoto Kaimu Menej Mwandamizi kitengo cha uhusino na mahusiano wa Benki hiyo Chichi Banda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...