Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume (Kushoto). Waziri Mkuu wa Burundi alifika leo Julai 27, 2020  Ofisi ndogo za Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha salamu za pole kutoka kwa Rais na Wananchi wa Jamhuri ya Burundi  kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na watanzania kufuatia kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu  wa Burundi Jenerali Alain Guillaume, Leo Julai 27, 2020, Jijini Dar es Salaam (Picha na Ofisi ya Waziri. Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja  na Waziri Mkuu  wa Burundi Jenerali Alain Guillaume , Leo Julai 27, 2020, Jijini Dar es Salaam (Picha na Ofisi ya Waziri. Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...