Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki akiwa
katika Kikao na Wajumbe Kujadili Maendeleo ya Kazi ya Usafishaji wa
Bwawa la Kuzalisha Umeme Kwenye Mradi Nyerere (JNHPP) mapema leo Mtumba
Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki (Kushoto)
akishauriana jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na
Utalii Dkt. Allan Kijazi (kulia) kwenye Kikao cha Kujadili Maendeleo ya
Kazi ya Usafishaji wa Bwawa la Kuzalisha Umeme Kwenye Mradi Nyerere
(JNHPP) kilichofanyika Mtumba Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki
akiongoza Kikao cha Kujadili Maendeleo ya Kazi ya Usafishaji wa Bwawa la
Kuzalisha Umeme Nyerere (JNHPP) kilichofanyika kwenye ukumbi wa Wizara
ya Maliasili na Utalii Mtumba Jijini Dodoma,
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...