Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini miaka ya 1975 – 1980 Philemon Mgaya, wakati wa serikali ya awamu ya kwanza chini ya Mwalimu Julius Nyerere. Marehemu Philemon Mgaya alifariki dunia 14/07/2020 katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam na mazishi yanatarajiwa kufanyika tarehe 20/07/2020  Usangi, Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (kusho) akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Omari Mahita, wakati walipoenda kutoa pole nyumbani kwa familia ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini miaka ya 1975 – 1980 Philemon Mgaya, Bahari Beach jijini Dar es salaam. Marehemu Philemon Mgaya alifariki dunia 14/07/2020 katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam na mazishi yanatarajiwa kufanyika tarehe 20/07/2020  Usangi, Mwanga mkoani Kilimanjaro. Picha na Jeshi la Polisi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...