Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi  akiongoza kikao kati ya Menejimenti ya Wizara na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) leo Julai 20,2020 Jijini Dodoma  mara baada ya Chama hicho kuwasili katika Wizara hiyo ambapo amewataka  kufanya kazi kwa ushirikiano na kasi zaidi ,Huku akisisitiza Serikali ni moja  hakuna mabadiliko yoyote isipokuwa mgawanyo wa majukumu.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Ally Possi. Mkurugenzi Idara ya Utawala na  Rasimimali Watu Bw.Benard Marceline akizungumzia kuhusu muundo wa wa utumishi katika kikao cha Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi (Kulia),na Menejimenti ya Wizara na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) leo Julai 20,2020 Jijini Dodoma  mara baada ya Chama hicho kuwasili katika Wizara hiyo ambapo amewataka  kufanya kazi kwa ushirikiano na kasi zaidi ,Huku akisisitiza Serikali ni moja  hakuna mabadiliko yoyote isipokuwa mgawanyo wa majukumu.Kushoto ni Bw.Rodney Thadeus Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari -MAELEZOAfisa Mtendaji Mkuu wa Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) Bi.Doreen Sinare (kushoto) akijadiliana jambo  na viongozi wa chama wakati wa  kikao cha Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi  na  Menejimenti ya Wizara pamoja na chama hicho  leo Julai 20,2020 Jijini Dodoma,  mara baada ya Chama hicho kuwasili katika Wizara hiyo ambapo amewataka  kufanya kazi kwa ushirikiano na kasi zaidi ,Huku akisisitiza Serikali ni moja  hakuna mabadiliko yoyote isipokuwa mgawanyo wa majukumu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...