Mgombea Ubunge katika Jimbo la Tunguu Zanzibar Rahma
Othman Mussa akijielezea kwa Wajumbe na kuomba kura zao katika
mchakato wa kura za maoni kuwachagua Wabunge na Wawakilishi katika
Majimbo kupitia Chama cha Mapinduzi ulioanza Leo 20/07/2020 kwa
Tanzania nzima.
Wagombea wa Ubunge na Uwakilishi Jimbo la Tunguu.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akipiga kura ya maoni kumchagua Mbunge na Muakilishi katika Jimbo la Tunguu katika mchakato wa kuwachagua Wabunge na Wawakilishi katika Majimbo kupitia Chama cha Mapinduzi ulioanza Leo Jimbo la Tunguu Zanzibar katika mchakato wa kuwachagua Wabunge na Wawakilishi katika Majimbo kupitia Chama cha Mapinduzi ulioanza Leo 20/07/2020 kwa Tanzania nzima.
Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria katika kura ya maoni.
(PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...