Katibu wa CCM wa Wilaya ya Njombe Mjini (kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Njombe Mjini Juju Danda ambaye alikuwa kiongozi mwandamizi wa vyama vya upinzani ambapo alihama chama Cha NCCR- Mageuzi akiwa Katibu Mkuu na kuungana na chama Cha Mapinduzi ikiwa ni kumuunga Mkono Rais Dkt.John Pombe Magufuli kwa uchapakazi wake wa kuwaeletea maendeleo wananchi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...