Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akipita na kukagua Daraja la Mkapa linalopita katika Mto Rufiji mkoani
Pwani wakati akitokea Masasi Mtwara kwenye msiba wa Marehemu Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo tarehe 30 Julai
2020. Daraja hilo linalounganisha Pwani na Mikoa ya Lindi na Mtwara lina urefu wa mita 970 na lilijengwa na Serikali ya Awamu ya Tatu chini ya Marehemu Rais Mstaafu
wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa. Lilifunguliwa Agosti 2, 2003




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...