RAIS wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akitowa
heshima ya mwisho kwa mwili wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania
Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya kuuaga mwili wa marehemu
Kitaifa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam

MAKAMU wa
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan ,
akitowa heshima ya mwisho kwa mwili wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa
Tanzania Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya kuuaga mwili wa
marehemu Kitaifa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam

RAIS wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa
hashima ya mwisho kwa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya Kitaifa
ya kuuaga mwili wa marehemu katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
leo 28/7/2020.(Picha na Ikulu)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifuta machozi wakati
akielezea namna alivyomjua Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu
Benjamin William Mkapa wakati akihutubia katika uwanja wa Uhuru jijini
Dar es Salaam.


RAIS wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia katika hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa marehemu Rais
Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin
William Mkapa, iliofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam

BAADHI ya
Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania wakifuatilia hutuba ya
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli
(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa
Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin William
Mkapa, katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam

MJANE wa
Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa
Mama Anna Mkapa akitowa heshima yake ya mwisho kwa mwili wa marehemu
wakati wa hafla ya Kitaiga ya kuuaga mwili huo iliofanyika katika Uwanja
wa Taifa Jijini Dar es Salaam

BAADHI ya
Wananchi wa kutoka maeneo mbalimbali Nchini Tanzania wakishiriki katika
hafla ya kuuaga Mwili wa Hayati Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri
ya Muungano wa Tanzania Benjamin Willian Mkapa, iliofanyika Kitaifa leo
katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam

MSAFARA wa gari
maalum ya JWTZ ikiwa imeubeba Mwili wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Benjamin William Mkapoa
ukiwasili katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya
kutowa heshema ya mwishi kwa Viongozi wa Kitaifa na Wageni waalikwa.

MKE wa Marehemu
Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee
Benjamin Willian Mkapa, Mama Anna Mkapa (aliyejivunikakitambaa cheusi)
akiwa na Wanafamilia baada ya kuwasili katika Uwanja wa Taifa Jijini
Dar es Salaam, katika hafla ya kutowa heshima za mwisho kwa Viongozi
Wakuu na wageni kutoka nja ya Tanzania

RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwa na Viongozi katika jukwaa kuu wakati ukiwasili msafara uliochukua
mwili wa Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa katika Uwanja wa Taifa
Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla kuuanga kwa Viongozi wa Kitaifa
(kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan na (kulia kwa Rais) Rais Mstaaf wa Tanzania
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan
Mwinyi, wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili kwa msafara huo

RAIS wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (kulia kwa
Rais) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Nne Mhe
Jakaya Mrisho Kikwete, wakiwa kjatika jukwaa kuu wakati ukipigwa wimbo
wa Taifa, katika hafla ya Kitaifa ya kuuaga Mwili wa Marehemu Rais wa
Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William
Mkapa, katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo

WAGENI Waalikwa
na Wananchi na Viongozi wa Serikali na JWTZ wakitowa salute wakati
ukipigwa wimbo wa Taifa katika Uwanja wa Taifa Jijini Da es Salaam baada
ya kuwasili kwa mwili wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla
ya Kitaifa kwa Viongozi Wakuu kuuaga mwili wa mnarehemu

BAADHI ya
Mawaziri wa SMZ na SMT na wageni waalikwa wakiwa wamesimama wakati
ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla ya kuuanga Mwili wa Rais Mstaaf wa
Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Benjamin William
Mkapa

VIONGOZI wa
Jukwaa Kuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla
ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa
Jamuhuri ya Muunganio wa Tanzania Mhe. Benjamin William Mkapa, katika
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa (kulia kwa Waziri Mkuu) Waziri Mkuu wa Burundi. Jenerali
Alain Guillaume Bunyoni , Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara. Mhe.
Philip Mangula na Waziri Mkuu Mstaaf Edward Lowasa

BAADHI ya
Viongozi wa Serikali na Mawaziri wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli(hayupo pichani )
akihutubia katika hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa Marehemu Rais
Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, iliofanyika
katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam

WAZIRI Mkuu wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Mwenyekiti wa
Kamati ya Mazishi ya Rais Mstaaf wa Tanzania wa Awamu ya Tatu Marehemu
Benjamin Mkapa, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
kuwahutubia Wananchi katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo
28/7/2020, katika hafla ya Kitaifa ya kuuanga mwili wa marehemu

WAZIRI Mkuu wa
Burundi Jenerali Alain Guillaume Bunyoni, akizungumza na kutowa salamu
za Nchi yake wakati wa hafla hiyo ya Kitaifa ya kuuanga mwili wa
Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin Willian
Mkapa, iliofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam

KIONGOZI wa
Mabalozi Nchini Tanzania Balozi wa Comoro Nchini Tanzania akitowa salamu
wakati wa hafla ya kuuaga mnwili wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya
Tatu Tanzania. Benjamin William Mkapa, katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar
es Salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...