MASHEIKH wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja wakimsikilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaskazini “B” Kinduni.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Masheikh wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika ukumbi wa Halmashauri Wilaya Kinduni, baada ya kumaliza Sala ya Eid Alhajj iliofanyika katika Uwanja wa Mpira wa Misuka Mahonda.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia Mtoto Ali Abdalla Hassan, baada ya kumalizikac kwa Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Mpifra wa Misuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo 31-7-2020.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheik. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais)Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika Uwanja wa mpira wa Misuka mahonda.(Picha na Ikulu)WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika Uwanja wa Mpira Mahonda.(Picha na Ikulu)
SHEIKH Ahmed Ashkina askisoma Hutba ya Sala ya Eid Alhajj baada ya kumalizika kwa Sala hiyo iliofanyika Kitaifa Mkoa wa Kaskazini Unguja Wilaya ya Kaskazini “B”,katika uwanja wa mpira wa Misuka Mahonda.(Picha na Ikulu)  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...