RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisoma risala ya rambirambi kufuatia kifo cha Rais Mstaaf wa Awamu ya
Tatu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamin
William Mkapa, kilichotokea wiki iliyopita usiku wa kuamkia Ijumaa
24,Julai 2020.(Picha na Ikulu)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...