Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akisaini kitabu cha Maombolezo alipofika nyumbani kwa Rais wa Awamu ya
Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kutoa pole kwa mjane Mama Anna Mkapa
Masaki, Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia) pamoja na Spika wa Baraza
la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid wakimsabai mjane wa
Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa
nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
Kagaigai akisaini kitabu cha Maombolezo alipofika nyumbani kwa Rais wa
Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kutoa pole kwa mjane Mama
Anna Mkapa Masaki, Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (kulia), Spika wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid (katikati) pamoja na Katibu
wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto) wakimsabai mjane wa kwa Rais
wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa
nyubani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (katikati), akizungumza na Spika wa
Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid (kushoto) pamoja
na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) Ofisi Ndogo za Bunge
Jijini Dar es Salaam. PICHA NA BUNGE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...