Anayewania kuchaguliwa kugombea Ubunge Kwa tiketi ya CCM Jimbo la Vunjo Dk. Kanael Kaale akizungumza na Muwania kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini, Idda Mushi, nje ya UKUMBI wa CCM Wilaya ya Moshi Vijijini baada ya kikao cha TATHMINI ya ZOEZI Zima la Uchukuaji wa fomu, ambapo Vunjo wamejitokeza watu 40 Kugombea na 38 wameweza kurudisha Fomu, wakati Moshi Vijijini wamejitokeza watu 50 na walioweza kurejesha fomu ni 47.Uchaguzi wa ndani wa Kura za maoni ngazi ya Wilaya utafanyika nchi nzima Julai 20 na 21,siku ya jumatatu na jumanne
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...