Waziri Japhet Hasunga akionyesha fomu ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kukabidhiwa na Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Mbozi Bi Hanji Godigodi leo Tarehe 21 Agosti 2020.
Waziri Japhet Hasunga akikabidhiwa fomu ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi na Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Mbozi Bi Hanji Godigodi leo Tarehe 21 Agosti 2020.
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2020-2025.
Waziri Hasunga amekabidhiwa fomu hiyo leo Tarehe 21 Agosti 2020 na Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Mbozi Bi Hanji Godigodi ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi.
Waziri Hasunga amekabidhiwa fomu hiyo leo Tarehe 21 Agosti 2020 na Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Mbozi Bi Hanji Godigodi ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...