Wafanyabiashara mbalimbali wakiwa katika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam wakiwasubiri wateja wanaotoka sehemu mbalimbali za jiji kununua mahitaji yao kama inavyoonekana pichani.
Mfanya Biashara ambao majina yao hayakupatikana mara moja akizungumza na wateja waliofika kupata mahitaji ya nyumbani pembezoni mwa Barabara ya Temeke Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...