Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa
Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais
Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika Ustawi wa Amani,
Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,
Abubakar Kunenge wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa
Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais
Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika Ustawi wa Amani,
Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. Wa
pili kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa
Salum. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Askofu
Mkuu wa Kanisa la Full Gospal Bibble Fellowship, Zakary Kakobe
akizungumza katika Mkutano wa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu
na Kuunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake
katika Ustawi wa Amani, Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika
kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es
salaam, Agosti 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mufti na
Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir Ally akizungumza
katika Mkutano wa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga
Mkono Juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika
Ustawi wa Amani, Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo
cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam,
Agosti 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...