MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha
Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika
Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais)
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.Mhe. Samia Suluhu Hassan na
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.(Picha
na Ikulu).




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...