Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata Utepe kuzindua rasmi Jengo la Ofisi ya Taasisi ya
Kuzuwia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma leo
Agosti 08,2020.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na
Wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wakati wa Uzinduzi wa Jengo la
Ofisi ya Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa
Mkoani Dodoma leo Agosti 08,2020.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa
kuzindua rasmi Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU
Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma leo Agosti 08,2020.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Kapten Geoge Mkuchika na Mkuu wa Taasisi ya kuzuwia na kupambana na Rushwa
Nchini TAKUKURU Brigedia Generali John Mbungo baada ya kuzindua rasmi Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuwia na
Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma leo Agosti 08,2020
( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani
Dodoma alipowasili Wilayani Mpwapwa kwa ajili ya Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya
Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa Mkoani
Dodoma leo Agosti 08,2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...