Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu, TUMSIFU YESU KRISTU. HONGERA SANA kwa nchi yetu kutambuliwa kuwa nchi ya AMANI. Ni ya kwanza Afrika ya Mashariki, ya Sita Afrika na ya 52 Duniani. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema zake. Mheshimiwa wewe Mkuu wetu wa nchi, tunakushukuru kwa Uongozi Bora. UBARIKIWE SANA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...