Rais
Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Baba Paroko Paul Mapalala wakisali
katika Grotto ya Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata
Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020
Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli akishirikiana na waumini wenzake kutoa
sadaka wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A
katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino
jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akishiriki katika Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020





PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...