Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya
Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika
kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021
kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto)
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,[Picha na Ikulu]
16/08/2020.
Washauri wa Vikosi vya SMZ pamoja na Maafisa wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa mwaka 2020/2021 cha Uongozi wa Wizara
ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum
za SMZ, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini
Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na
Ikulu] 16/08/2020.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...