Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki (katikati) akizungumza na
waandishi wa habari leo alipoitembelea kampuni ya Vodacom Tanzania PLC
na kuipongeza kampuni hiyo kwa uwekezaji mkubwa waliofanya. Kushoto ni
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn
Mworia na Mkurugenzi wa kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC, Dkt. Maduhu
Isaack Kazi.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki akizungumza na Menejimenti ya Vodacom Tanzania PLC

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki akiwa kwenye picha ya pamoja na
menejimenti ya Vodacom Tanzania PLC na maofisa aliofuatana nao
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...