Mchungaji wa Kanisa la Word Alive Centre,Glory Nahonge akizungumza na wanawake mbalimbali katika semina ya malezi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Ambapo amewataka wazazi na walezi wawalee watoto wao katika malezi bora na makuzi, yenye kufuata nyenendo na tamaduni zenye tija ya kumcha Mungu.Wazi na walezi waliotoka maeneo
mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam wakimsililiza Mchungaji wa Kanisa la
Word Alive Centre,Glory Nahonge katika semina ya malezi iliyofanyika leo.Mwenyekiti wa Maandalizi ya semina ya malezi, Edda Lyamba akiwakaribisha wanawake mbalimbali katika semina ya malezi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mwimbaji
wa Nyimbo za Injili,Jessica Honore( mbele) akiimba katika semina ya malezi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
wa Nyimbo za Injili,Jessica Honore( mbele) akiimba katika semina ya malezi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja ya viongozi wa dini
Picha ya pamoja na Viongozi wa Ndini na kamati ya maandalizi ya semina ya malezi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...