KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Suleiman Mzee akikagua shughuli
za uvunaji wa mahindi kwa kutumia mtambo wa kisasa(Combine
harvester)ukivuna mazao ya mahindi leo katika mashamba ya Gereza Songwe,
Mbeya. Mtambo huo una uwezo wa kuvuna ekari 60 kwa siku.
KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Suleiman Mzee akikagua mtambo
wa uvunaji wa nafaka(Combine harvester). Mtambo huo unaendelea na
shughuli za uvunaji wa mahindi leo katika mashamba ya Gereza Songwe,
Mbeya.
Magunia ya mahindi yakiwa katika shamba la Gereza Songwe, Mbeya mara
baada ya shughuli za uvunaji(Picha zote na Jeshi la Magereza).Mahindi yakiwa tayari yamevunwa na mtambo wa kisasa wa kuvunia kabla ya kuhifadhiwa kwenye magunia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...