MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwapungia mkono na kuwasalimia Wanachama wa CCM katika Uwanja wa Gombani ya Kale wakati akiwasili  katika uwanja wa Gombani ya Kale Pemba wakati wa ufunguzi wa Kampeni ya CCM Pemba leo 16/9/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS  Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba. Ndg. Hamad Mberwa  alipowasili katika uwanja wa Gombani ya Kale Pemba kuhudhuria Ufunguzi wa Kampeni za CCM Pemba.(Picha na Ikulu) MSANII wa Kikundi cha Taarab cha Profesa Gogo akitowa burudani wakati wa Mkutano wa  Ufunguzi wa Kampeni za CCM zilifanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)MSANII wa Bongo Flava Nandy akitowa burudani wakati  wa hafla ya mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba leo 16/9/2020.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...