Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na kuagana rasmi baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais.[picha na Ikulu] 26/10/2020.
Baadhi ya Wafayakazi wakimsikilira Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha, leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na kuagana rasmi baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais.[picha na Ikulu] 26/10/2020.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar alipowaaga rasmi baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais.[picha na Ikulu] 26/10/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...