Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa mazingira Dar es salaam (DAWASA) wakiwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wa kata ya Vingunguti wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya usafi wa mazingira Jijini Dar es salaam. Katika maadhimisho hayo elimu kuhusu ya usafi wa mazingira, matumizi bora ya choo yalitolewa kwa wananchi ili kupunguza athari za magonjwa ya kuhara na mlipuko.
Afisa wa DAWASA akitoa elimu kuhusu ya usafi wa mazingira na matumizi bora ya choo yalitolewa watendaji wa kata ya Vingunguti ili kupunguza athari za magonjwa ya kuhara na mlipuko wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya usafi wa mazingira Jijini Dar es salaam.

Msanii Mguli wa mziki hapa Tanzania, Mrisho Mpoto akitoa burudani wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya usafi wa mazingira Jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...