Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiendesha
kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini
Zanzibar.(kushoto kwa Mstaafu)Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 26/11/2020.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao cha
siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini
Zanzibar.(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla
Juma Saadala.[Picha na Ikulu] 26/11/2020.
Baadhi yaWajumbe wa Siku moja cha
Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar Kikao cha Siku moja
cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo
katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
.wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao. [Picha na Ikulu]
26/11/2020.Wenyeviti
wa Mikoa ya Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar wakiwa katika Kikao cha
Siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini
Zanziba chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein. [Picha na Ikulu]
26/11/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...