Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Refocus Afrika uliofika Ikulu Jijini Zanzibar leo ambapo mazungumzo hayo yamegusia zaidi kuhusu masuala mbali mbali ya michezo,Filamu na Muziki
hapa Zanzibar.[Picha na Ikulu].18/11/2020.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Refocus Afrika uliofika Ikulu Jijini Zanzibar leo ambapo mazungumzo hayo yamegusia zaidi kuhusu masuala mbali mbali ya michezo,Filamu na Muziki
hapa Zanzibar.[Picha na Ikulu].18/11/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...