
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Muumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad Mombasa kwa Mchina Jijini Zanzibar leo 27/11/2020.(Picha na
Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noor Muhammed Mombasa kwa Mchina Jijini Zanzibar leo 27/11/2020.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...