
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge, alipowasili Uwanja wa Dodoma leo jioni
12/11/2020, kwa ajili ya kuhudhuria uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika kesho 13/11/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwebyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mapumziko baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo jioni 12/11/2020,akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt.Bilinith Mahenge, kwa ajili ya kuhudhuriaUfunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hapo kesho 13/11/2020.(Picha na Ikulu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...