Shirika la ndege la As salaam Air hapa nchini litaanzisha safari zake za kuelekea Dodoma kuanzia tarehe 3 January 2021 mara tatu kwa wiki Jumatano, Ijumaa na Jumapili. Safari hizo zitakuwa ni kuanzia Zanzibar -Dar es Salaam-Dodoma na kurudi.
Bei zitakuwa DAR-DODOMA kuanzia Shs 149,000 kwenda tu na Shs 268,000 kwenda na kurudi.
ZANZIBAR-DODOMA kuanzia Shs 255,000 kwenda tu na Shs 459,000 kwenda na kurudi.
Safiri na As salaam Air ndege kubwa zenye mwendo kasi na salama.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0626 771 771 au 0682487257 pia unaweza kupata huduma kupitia tovuti www.assalaamair.co.tz ama wasiliana na wakala wako aliyeko karubu nawewe.
AS SALAAM AIR WE FLY TOGETHER
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...