Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Khamis Hamza Khamis(aliyenyoosha kidole ,akiuliza maswali wakati alipotembela Mradi wa Nyumba nane za ghorofa ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zinatarajiwa kuhifadhi jumla ya  familia themanini za askari.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis akikagua Mradi wa Nyumba nane za ghorofa ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zilizopo eneo la Kikombo jijini Dodoma zinatarajiwa kuhifadhi jumla ya familia themanini za askari. Anayefuatia ni Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis (katikati), akikagua ubora wa sakafu alipotembelea Mradi wa Nyumba nane za ghorofa ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita  huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zilizopo eneo la Kikombo, jijini Dodoma zinatarajiwa kuhifadhi jumla ya  familia themanini za askari. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jesshi la Zimamoto,Mhandisi Julius Ntambala akitoa maelekezo ya Mradi wa Ujenzi wa Nyumba nane  za  Ghorofa kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis alipotembelea mradi huo ambao gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita  huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zilizopo eneo la Kikombo, jijini Dodoma zinatarajiwa kuhifadhi familia themanini za askari.Wakwanza kushoto ni Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis (wapili kushoto), akiwasili eneo la Kikombo lililopo jijini Dodoma ambako kunajengwa nyumba nane za ghorofa  zinazoonekana pichani ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Tano huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zinatarajiwa kuhifadhi familia .Wakwanza kushoto ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jesshi la Zimamoto,Mhandisi Julius Ntambala Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...