Mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja akisoma hotuba ya kufunga mafunzo pamoja na utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) zilizofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) CPA Prof. Isaya Jairo akizungumza wakati wa kufunga mafunzo pamoja na utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) zilizofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau waliofika kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) zilizofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam
Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja akipokea tuzo kutoka kwa mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja ya mshindi wa pili ya umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) katika kipengele cha Mamlaka za maji.
Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja akipongezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) CPA Prof. Isaya Jairo mara baada ya kupokea tuzo ya mshindi wa pili ya umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) katika kipengele cha Mamlaka za maji.
Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja akipongezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) CPA Prof. Isaya Jairo mara baada ya kupokea tuzo ya mshindi wa pili ya umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) katika kipengele cha Mamlaka za maji.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dkt. Edwin Mhede akipokea tuzo kutoka kwa mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja ya mshindi wa kwanza ya umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards).
Mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa kwanza wa tuzo za uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019(Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) zinayotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA).
Mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa pili wa tuzo za uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019(Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) zinayotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA).
Mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa tatu wa tuzo za uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019(Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) zinayotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...