RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania
Assemblies of God Dr.Barnanas Weston Mtokambali alipofika Ikulu
Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa pongezi zake kwa Rais na (kulia kwa
Askofu) Rev. Dikson Kaganga, Askofu wa Jimbo la Zanzibar, mazungumzo
hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
11/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania
Assemblies of God Dkt.Barnanas Weston Mtokambali, alipofika Ikulu Jijini
Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza hafla hiyo imefanyika leo
11/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania
Assemblies of God Dkt. Barnanas Weston Mtokambali (kulia kwa Rais) akiwa
na Askofu wa Jimbo la Zanzibar Rev. Dikson D.Kaganga, walipofika Ikulu
Zanzibar kwa mazungumzo leo 11/12/2020. (Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...