Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aitoa heshima zake za mwisho mbele ya mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Maadili Marehemu Jaji Mstaafu Harold Nsekela wakati wa kuaga mwili wake katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo Desemba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula, Mjane na Watoto wa Marehemu wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Maadili Marehemu Jaji Mstaafu Harold Nsekela wakati wa kuaga mwili wake katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo Desemba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aitoa heshima zake za mwisho mbele ya mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Maadili Marehemu Jaji Mstaafu Harold Nsekela wakati wa kuaga mwili wake katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo Desemba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Mama Subilaga Nsekela, mjane wa aliyekuwa Kamishna wa Maadili Marehemu Jaji Mstaafu Harold Nsekela wakati wa kuaga mwili katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo Desemba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Bw. Andendekisye Nsekela,
mtoto mkubwa wa aliyekuwa Kamishna wa Maadili Marehemu Jaji Mstaafu
Harold Nsekela wakati wa kuaga mwili katika viwanja vya Chinangali
jijini Dodoma leo Desemba 8,
2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapa pole wanafamilia wa aliyekuwa Kamishna wa Maadili Marehemu Jaji Mstaafu Harold Nsekela wakati wa kuaga mwili katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo Desemba 8, 2020
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...