Spika wa Bunge, Job Ndugai akisalimiana na Mwenyekiti wa taasisi ya habari development association, Bernard James wakati alipowasili katika siku ya upandaji miti katika soko kuu la Job Ndugai Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akipanda mti wakati wa siku ya upandaji miti katika soko kuu la Job Ndugai Jijini Dodoma.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kisasa wakisoma risala yao mbele ya mgeni rasmi Spika wa Bunge, Job Ndugai (hayupo kwenye picha) wakati wa siku ya upandaji miti katika soko kuu la Job Ndugai Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na viongozi kutoka taasisi ya habari development association, wafanyakazi wa soko kuu la Job Ndugai na wageni waalikwa wakati wa siku ya upandaji miti katika soko kuu la Job Ndugai Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (wanne
kushoto mbele) katika picha ya pamoja na viongozi wa wa taasisi ya
habari development association, wawakilishi kutoka ofisi ya Mkuu wa
Mkoa, Jiji na viongozi wa soko kuu la Job Ndugai wakati wa siku ya
upandaji miti katika soko kuu la Job Ndugai Jijini Dodoma. Kushoto mbele
ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari Development Association Ndg. Kunze Mswanyama
Muonekano wa jengo la soko kuu la Job Ndugai ambapo siku ya upandaji miti ulifanyika katika soko hilo Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...