MKONGWE wa Tasnia ya  Maigizo nchini Mohammed Fungafunga maarufu Kama Mzee Jengua amefariki dunia asubuhi ya Disemba 15 huko Mkuranga, mkoani Pwani.

Marehemu alikua akisumbuliwa na Maradhi ya Kupararaizi .

Enzi za uhai wake, Mzee Jengua alikua akiigiza Maigizo kama vile Kidedea, Handsome wa Kijiji, Kashinde na zingine nyingi.

Mungu aiweke roho yake mahala pema.
Ameen.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...