Meneja wa Bidhaa za Kadi wa Benki ya NMB, Saidi Kiwanga, akizungumza kwa
njia ya simu na mmoja wa washindi wa droo ya nne ya promosheni ya
MastaBata siyo kikawaida, iliyofanyila leo kwenye makao makuu ya Benki
hiyo, jijini Dar es salaam. Jumla ya washindi 40 wa laki moja kila mmoja
wamepatikana leo katika droo za wiki na kufikia idadi ya washidni 160
toka kuanza kwa promosheni hiyo. Kushoto ni Mkaguzi kutoka Bodi ya
Michezo ya
Kubahatisha, Elibariki Sengasenga.
Meneja wa Bidhaa za Kadi wa Benki ya NMB, Saidi Kiwanga, akizungumza kwa njia ya simu na mmoja wa washindi wa droo ya nne ya promosheni ya MastaBata siyo kikawaida, iliyofanyila leo kwenye makao makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es salaam. Jumla ya washindi 40 wa laki moja kila mmoja wamepatikana leo katika droo za wiki na kufikia idadi ya washidni 160 toka kuanza kwa promosheni hiyo. Kushoto ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Elibariki Sengasenga na kulia ni Mtaalam wa Kadi wa Benki ya NMB, Abeid Ng'wanakilala.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...