Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel Malanga( wa sita kutoka kulia)  akiwa katika picha ya pamoja  na wahitimu wa   Mafunzo ya  uongozaji ndege daraja la pili  yaliyochukua muda wa wiki Tisa  yanayotolewa na  Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC)  jijini Dar es Salaam .

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel Malanga    (katikati  ) akizungumza jambo  wakati wa hafla ya kuwatunuku   vyeti wahitimu wa  Mafunzo ya Ndege nyuki ‘Drone’  ya wiki Nne  yanayotolewa na  Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC)  jijini Dar es Salaam, Jumla ya wahitimu 21 wamehitimu mafunzo kwa awamu ya kwanza . (Kushoto) ni Mkuu wa chuo cha CATC, Aristid Kanje. Wengine kwenye picha (wa pili kulia) ni Mtendaji Mkuu wa  Prowings Ian Melamed .
Baadhi ya wahitimu wa Mafunzo ya  uendeshaji Ndege nyuki ‘Drone’  ya wiki Nne  yanayotolewa na  Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC)  jijini Dar es Salaam, Jumla ya wahitimu 21 wamehitimu mafunzo hayo kwa awamu ya kwanza. Wakimsikiliza  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel Malanga   wakati wa hafla ya kuhitimu  iliyofanyika TCAA jijini Dar es Salaam.  
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel Malanga    (Kulia )akimtunuku   Kiongozi wa darasa la marubani wa Ndege nyuki (Drone) Ephraim Danford    cheti cha kuhitimu Mafunzo hayo   ya wiki Nne  yanayotolewa na  Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC)  jijini Dar es Salaam, Jumla ya wahitimu 21 wamehitimu mafunzo hayo kwa awamu ya kwanza .(Katikati) ni Mkuu wa chuo cha CATC, Aristid Kanje.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel Malanga    (Kulia )akimtunuku   cheti  mwanafunzi wa Kozi ya Uongozaji ndege daraja la pili,  Fagal Ahamed Abdallah wa  Mamlaka ya usafiri wa Anga Somalia (SCAA)   wakati wa  hafla  ya kuhitimu  Mafunzo hayo ya wiki Tisa  yanayotolewa na  Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC)  jijini Dar es Salaam, Jumla ya wahitimu  Tisa wamehitimu.(Katikati) ni Mkuu wa chuo cha CATC, Aristid Kanje.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel Malanga    (Kulia )akimtunuku    Adinani Mvungi cheti cha kuhitimu Mafunzo ya Ndege nyuki ‘Drone’  ya wiki Nne  yanayotolewa na  Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC)  jijini Dar es Salaam, Jumla ya wahitimu 21 wamehitimu mafunzo hayo kwa awamu ya kwanza .(Katikati) ni Mkuu wa chuo cha CATC, Aristid Kanje.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel Malanga    (Kulia )akimtunuku   cheti  mwanafunzi wa Kozi ya Uongozaji ndege daraja la pili,  Abdifatah Osman  Abrahim wa  Mamlaka ya usafiri wa Anga Somalia (SCAA)   wakati wa  hafla  ya kuhitimu  Mafunzo hayo ya  wiki Tisa  yanayotolewa na  Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC)  jijini Dar es Salaam, Jumla ya wahitimu  Tisa  wamehitimu mafunzo hayo .(Katikati) ni Mkuu wa chuo cha CATC, Aristid Kanje.
Baadhi ya wahitmu wa  mafunzo ya uongozaji  Ndege daraja la pili kutoka Mamlaka ya usafiri wa Anga Somalia ( SCAA)   wakiwa  na vyeti vyao mara baada ya kutunukiwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel Malanga    hayupo pichani wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Daniel Malanga ( wa saba kutoka kushoto waliosimama mbele  ) akiwa katika picha ya pamoja  na wahitimu wa   Mafunzo ya  uendeshaji Ndege nyuki ‘Drone’  ya wiki Nne  yanayotolewa na  Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC)  jijini Dar es Salaam, Jumla ya wahitimu 21 wamehitimu mafunzo hayo kwa awamu ya kwanza


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...