Dayana Vivian Mabula mtoto wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula akipunga mikono kuwaaga waalikwa wakati akitoka katika sherehe yake ya Send Off iliyofanyika katika ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza tarehe 30 Januari 2020.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi akizungumza kabla ya kumkabidhi zawadi Dayana Vivian Mabula ambaye ni mtoto wa Naibu Waziri wa Ardhi Dkt Angeline Mabula katika sherehe ya Send Off iliyofanyika ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza tarehe 30 Januari 2021.

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula akimkabidhi Hati ya Kiwanja mtoto wake Dayana Vivian Mabula na kumtaka kuhakikisha analipa kodi ya pango la ardhi ili kuepuka tozo ya adhabu wakati wa sherehe yake ya Send Off iliyofanyika kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza tarehe 30 Januari 2021. Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Mwalimu  Queen Mlozi.

Dayana Vivian Mabula mtoto wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula (Kulia) akimkabidhi zawadi ya picha mama yake mzazi wakati wa sherehe yake ya Send Off iliyofanyika katika ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza tarehe 30 Januari 2020.

Dayana Vivian Mabula mtoto wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula akimkabidhi zawadi mumewe mtarajiwa wakati wa sherehe ya Send Off iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza tarehe 30 Januari 2021.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mary Makondo akizungumza alipowaongoza watumishi wa Wizara yake kutoa zawadi kwa Dayana Vivian Mabula mtoto wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo Mhe Dkt Angeline Mabula wakati wa sherehe ya Send Off iliyofanyika ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza tarehe 30 Januari 2021.

Waandishi wa Habari wa mkoa wa Mwanza wakimtunza zawadi Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula kutokana ushirikiano anaouonesha kwao wakati wa sherehe ya Send Off ya mtoto wake Dayana Vivian Mabula iliyofanyika ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza tarehe 30 Januari 2021.(PICHA ZOTE NA MUNIR SHEMWETA WIZARA YA ARDHI)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...