Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza S. Johari akizungumza alipokuwa akifungua kikao kazi cha 48 cha Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa anga nchini kilichofanyika katika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanakamati wa Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa anga nchini wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza S. Johari alipokuwa anafungua kikao kazi cha 48 kilichofanyika katika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakiwa kwenye kikao kazi cha 48 cha Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa Anga nchini kilichofanyika katika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo jijini Dar es Salaam.
Mkutano ukiendelea
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza S. Johari pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa Anga nchini Daniel Malanga wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanakamati wa Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa anga nchini mara baada ya ufunguzi wa kikao kazi cha 48 kilichofanyika katika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...