IMEELEZWA kuwa Betika mambo yamezidi kuwa matamu katika kila siku, na hiyo ni baada ya kudhihirika hadharani baada ya washindi 24 kujizolea mapesa yao ndani ya Jackpot. Hii 'Haijawahi' kutokea kwingine.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Meneja wa Fedha na utawala wa Betika Jackpot Deodata Kalumia imeeleza kuwa washindi hao 24 ambao sasa wanatamba na pesa zao mitaani wameshinda mikwanja yao kupitia Kitonga deile Jackpot pekee ambayo ni Jackpot rahisi zaidi inayotoa washindi wengi nchini.
Amesema, Betika inataka washindi zaidi na kuongeza idadi ya washindi wengine katika Kitonga Deile Jackpot ambayo inawezesha kushinda hadi shilingi 1,000,000 kila siku.
Kalumia amewataka watanzania kuchangamkia fursa hiyo ya kibabe kwa kuingia katika tovuti yao ya www.betika.co.tz ukifika hapo gonga pale kulipoandikwa Kitonga Deile Jackpot kisha kuchagua mechi 8 tu na kushinda kibabe.
Aidha amesema kuwa nafasi zipo wazi katika kuungana na washindi 24 na kuifanya Januari kuwa nyepesi kwa kushiriki na kuchagua mechi ambazo ni nane tu, kisha weka ubashiri ukitumia dau la kuanzia sh. 250 tu itakayobadilisha maisha.
Kwa maelezo zaidi kuhusu Kitonga Deile Jackpot na huduma nyingine kutoka Betika Kalumia amewataka kuwasiliana nao kupitia 0659 070 700.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...