Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati za Maendeleo za Kizimkazi Mkunguni, Kizimkazi Dimbani na Kibuteni pamoja na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kusini Unguja, lengo la kikao hicho ni kutathmini Miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kipindi kilichopita na kipindi kijacho. kikao hicho kimefanyika leo Januari 07, 2021 katika Ukumbi wa mikutano wa Shule ya Sekondari Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...