Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akizidua Miongozo mbalimbali ya uendeshaji wa Mahakama kwenye
Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini na kutimia Miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyoadhimishwa
leo Januari 24,2021 katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. wa pili
kulia Jaji Mkuu Prof. Hamis Ibrahim Juma, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer M. Feleshi
na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mwigulu Nchemba kulia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer M. Feleshi alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini na kutimia Miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyoadhimishwa leo Januari 24,2021 katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. wa pili kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mwigulu Nchemba kulia, kushoto Jaji Mkuu Prof. Hamis Ibrahim Juma..
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Viongozi, Majaji, Watendaji wa Mahakama na Wananchi kwenye Uzinduzi wa Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini na kutimia Miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyoadhimishwa leo Januari 24,2021 katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza matembezi ya Uzinduzi wa Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini na kutimia Miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyoadhimishwa leo Januari 24,2021 katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. wa pili kulia Jaji Mkuu Prof. Hamis Ibrahim Juma na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mwigulu Nchemba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mwigulu Nchemba kuli na Jaji Mkuu Prof. Hamis Ibrahim Juma baada ya kuzindua Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini na kutimia Miaka 100 ya Mahakama Kuu leo Januari 24,2021 katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...