Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe.
Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya
siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde alipowasili katika Uwanja wa
Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021 kwa ziara ya
kikazi ya siku moja.
Ndege iliyomchukua Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work
Zewde ikwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo
Jumatatu Januari 25, 2021
Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde akitelemka
katika ndege mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini
Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...