Rais wa Jamhuri. ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na mwekezaji mzawa Bw. Mhoja Mkwabi na viongozi wengine
akiweka jiwe la msingi la mradi wa Ujenzi wa viwanda vya vinywaji baridi, uzalishaji nafaka na Uzindikaji Maziwa. eneo la Chapulwa nje kidogo mwa mjini wa  Kahama
mkoani Shinyanga leo Alhamisi Januari 28, 2021 

Rais wa Jamhuri. ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembelea na kusalimia wagonjwa katika wodi ya wazazi katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama
baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa hospitali hiyo mjini Kahama mkoani Shinyanga leo Alhamisi Januari 28, 2021

Rais wa Jamhuri. ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua maendeleo ya mradi wa Ujenzi wa viwanda vya vinywaji baridi,
Uzalishaji nafaka na UZindikaji Maziwa eneo la Chapulwa nje kidogo mwa mjini wa  Kahama mkoani Shinyanga leo Alhamisi Januari 28, 2021

Rais wa Jamhuri. ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipata maelezo ya mradi wa Ujenzi wa viwanda vya vinywaji
baridi, Uzalishaji nafaka na Uzindikaji Maziwa
eneo la Chapulwa nje kidogo mwa mjini wa  Kahama mkoani Shinyanga leo
Alhamisi Januari 28, 2021 Rais wa Jamhuri. ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na mwekezaji mzawa Bw. Mhoja Mkwabi baada ya kuweka jiwe la
msingi la
mradi wa Ujenzi wa viwanda vya vinywaji baridi, na uzalishaji nafaka
na uzindikaji Maziwa. eneo la Chapulwa nje kidogo mwa mjini wa  Kahama
mkoani Shinyanga leo Alhamisi Januari 28, 2021

PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...