RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa
na Sheikh Abdalla Talib baada ya kumalizika kwa Sala ya kuusalia mwili
wa Marehemu Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mstaaf Vuai Mwinyi,
iliofanyika katika Msikiti wa Magombeni ( Mchekeni ) (Picha na Ikulu)RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika Sala ya kuusalia mwili wa
Marehemu Vuai Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mstaaf,
iliyoongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi ksatika
Msikiti wa Magombeni Jijini Zanzibar (Mchekeni ) (Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...