RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa
Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania
wakiongozwa na Mwenyekiti wao Dino Stengel (kulia kwa Rais) walipofika
Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 22-1-2021 katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa
Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania wakati
walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo
22-1-2021(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw. Dino Stengel
na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na
Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na
Wajumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi
Tanzania baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akikabidhiwa picha ikionesha mandhari ya Mji Mkongwe wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi
Tanzania.Bw.Dino Stengel, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...