RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi, Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi, wakiondoka katika
viwanja vya Ofisi ya CCM Wilaya ya Kusini Makunduchi ilioungua moto hivi
karibuni.(Picha na Ikulu) RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya
kumuombea Rais Mstaaf wa Awamu ya Nne Marehemu Mzee Idrisa Abdulwakil,
ikisomwa na Kadhi wa Wilaya ya Kusini Unguja Sheikh Ali Sharif,
alipofika kulidhuri kaburi la Marehemu Kijiji kwao Makunduchi akiwa
katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja leo.30-1-2021.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...